Kuna kijana hapa alisoma BSc In mechanical Engineering, mwaka wa 3 semister ya 2 akaugua sana akashindwa kuendelea akaomba kuahirisha, mwaka uliofuata akaahirisha tena akae sawa kabisa.
Alipotaka kurudi aendelee na masomo chuo walimpokea lakini bodi ya mikopo wakasema hana sifa kuendelea kupata...
Habari wadau, nimepanga kulima nyanya mwaka huu, nataka nitakazouza muda wa kuanzia mwezi wa 11 mpaka muda huu naomba mnishauri kwa yafuatayo;
1. Nianze kufulia mbegu lini
2. Nianze kulima lini?
3. Nilime mbegu gani,
4. Niandae mbolea zipi na zipi kwa mpangilio upi na upi
5. Nataka kulima nusu...
Habari wakuu! Nimerudi tena baada ya kujikusanya na kujipanga sana. Nimefika hatua ya kuweka vigae (tiles). Sasa kuna jambo ambalo nimejaribu kupitia post mbalimbali na kugundua kwamba vigae pia vina daraja (grades) tofauti, yaani A, B, C.
Kutokana na bajeti yangu, sioni uwezekano wa kutumia...
Nina Bajeti ya 1.5M kwa ajili ya TV 55" na 1M kwa ajili ya Music system.
Lengo niviweke Master Bedroom.
Naomba pendekezo la options ambazo sitajutia.
Kwenye TV preference zangu ni true color quality (Ikiwezekana 8k) na kwenye sound system ni mtetemesho.
Natanguliza shukrani
Habari waungwana,
Poleni na hongereni kwa majukumu ya kulijenga Taifa, niokoe muda ili nisiwachoshe ndugu zangu, kitaaluma mimi ni mwalimu na tayari nina diploma ya physical education ambayo nilisoma nikiwa tayari nimeajiriwa lakini mpaka sasa haijanipa kile nilichokitaka.
Kwasasa nataka...
Nimeangalia series zifuatazo
1. Game of Throne
2.Tyrant
3. Godfather of Harlem
4. Banshee
5. Ozark
6.Narcos
7.Elchapo
8. 24 jack Bauer
9.Rome
10.Breaking Bad
Naomba mnitajie series nzuri zitakazoendana na hizo
Habari JF
Wadau Pitia hapa kama una uzoefu nishauri jambo hili.
Nataka nifungue ofisi kubwa mwezi wa kumi, ambayo itakuwa imebesed kwenye maswala ya
exhibition display designer
industrial / project designer(ila hiii sina hakika sana)
web designer
Photographer
Advertising & promotions manager...
Habarini wakuu , natumai mu wazima sana.
Ishu iko hivi , wiki kadhaa nyuma kuna kitu kilitokea. Wakati nimetulia gheto na mchumba ,nilikuwa nimemuazima kidogo simu yake.
Mara kuna text ikaingia ,nikaamua kuisomea tu kwa juu ya screen nikaiyona kwamba imetoka kwa mtu ninaemfaham , tena na...
Wakuu,
Mwezi mmoja uliopita nilikuja nyumbani (kwa wazazi) kwa ajili ya Pasaka, hapa nyumbani pia nilijumuika na mdogo wangu wa mwisho (anasoma chuo) hapa nitamwita Denis (sio halisi) na mtoto wa Bro wangu (form two) hapa nitamwita Rama.
Namshukuru Mungu Tumesherehekea vizuri Pasaka na kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.