Habarini wakuu , natumai mu wazima sana.
Ishu iko hivi , wiki kadhaa nyuma kuna kitu kilitokea. Wakati nimetulia gheto na mchumba ,nilikuwa nimemuazima kidogo simu yake.
Mara kuna text ikaingia ,nikaamua kuisomea tu kwa juu ya screen nikaiyona kwamba imetoka kwa mtu ninaemfaham , tena na...