Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa pamoja na kuwa na urafiki wa muda mrefu na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, kwa sasa hawezi kumkwepa kumkabili kisiasa, kwani Msigwa amehamia chama pinzani na si mwanachama...