Wakuu,
Ila BASATA mmekuwa zaidi ya mizigo! Kwa hawa watu wote wanaotekwa na kuwataja polisi 🤣 🤣 au wenzetu hamjui Kiswahili. Mapana naona ndio utakuwa kiongozi kituko kuwahi kutokea tokea BASATA ianzishwe!
Halafu serikali na CCM hamjifunzi, yaani mnarudia mambo yale yale ambayo yakuja ku...
Ni kutokana na Wimbo wake Kabambe unaozungumzia Utekaji wa watu kutupwa Ununio
Namshauri aongozane na Mwanasheria wake.
=======
Msanii Nay wa Mitego amesema amepokea barua ya wito kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), kufika kwenye kikao ili kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’ kilichopangwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.