Am loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia...
Najua GENTAMYCINE ni Mwamba ila popote alipo ajue kuwa nami MINOCYCLINE sasa nimekuja rasmi Kuupindua Ufalme wake hapa Jamiiforums kwa kuja na Taarifa za Ndani, Uchambuzi na Kulichangamsha Jukwaa na naamini mpaka atoke BAN yake atakuta Mimi sasa ndiyo Natamba hapa na hata Tuzo ya mwaka huu...
Wakubwa zangu poleni na uchovu.
Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali.
Naishi maisha Magumu mno. hii ni
Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki.
Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri...
Nimekuwa na changamoto kubwa ya kujihisi hamu ya kufanya mapenzi kila wakati. Nimezunguka hosp nyingi duniani wataalam wanipunguzie hii hali imeshindikana. Madaktari wanasema ni kutokana na maisha, mwili wangu na vyakula na vinywaji navyotumia.
Wanasema ni tatizo la kutokuwa na stress katika...
Jamaa yangu aka yake KIMBU. Huyu jamaa kauli mbiu yake siku zote ni kuwa "kama huna pesa usioe mke mzuri baadaye uje wavika watu ubaya"
Jamaa alikuwa na operation ya kuchakata sana wake za watu.allahmdulilah si haba kazini tunapata vijisenti vya kununua magari na kujenga. Kwa sasa anakula...
Habari zenu humu ndani.
Mimi nina tatizo kitaalam linaitwa varicoceles. ( left varicoceles) limegundulika baada ya vipimo vya ultrasound.
Nimeelezwa kuwa tatizo hili ndilo linanipelekea mimi kuwa na low sperm count.
Je, ni hospitali gani naweza kutibiwa tatizo hili au kama mtu ana...
Nina generator yangu ambayo siitumii sana; kuna kipindi ili kaa karibu mwaka mzima bila kutumika. Kuja kufungua nikakuta petrol imeharibika na kugandiana kiasi kwamba iliharibu mpaka carburetor, ikabidi kubadilisha.
Katika soma soma mitandaoni nikakuta kuna fuel stabilizer ambazo zinaweza...
Msaada kwa wataalamu na tips za michoro na ushauri kutoka kwenu wadau.nina m5 nmejchanga changa naitaj kujengo angalau vyumba 2 na sebule na jiko. Choo ndan cha public
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.