Habari zenu humu ndani.
Mimi nina tatizo kitaalam linaitwa varicoceles. ( left varicoceles) limegundulika baada ya vipimo vya ultrasound.
Nimeelezwa kuwa tatizo hili ndilo linanipelekea mimi kuwa na low sperm count.
Je, ni hospitali gani naweza kutibiwa tatizo hili au kama mtu ana...