Watu Watatu, wakiwemo Waziri wa zamani na Mkuu wa Ulinzi wa Rais Patrice Talon, wamekamatwa kwa tuhuma za kupanga mapinduzi, huku uchunguzi mkali ukiendelea ili kuwabaini Wahusika wengine
Mwendesha Mashtaka wa Serikali aliwaambia Waandishi wa Habari, Waziri wa zamani wa Michezo, Oswald Homeky...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.