Mwaka 1958, mwaka mmoja baada ya kujipata uhuru, Ghana, nchi ya kwanza ya Afrika kusini mwa Sahara iliyoondokana na utawala wa kikoloni iliitisha mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika. Kwa watu waliodhamiria kujenga taifa upya, hiki kilikuwa ni kipindi chenye matumaini. Lakini nchi mwenyeji...