nje ya uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Akotia

    Mechi ya Karne Yachezwa Nje ya Uwanja: Siasa, Figisu Figisu na Mchezo wa Giza kwenye Ligi Yetu!

    Hii saga ya kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga ni noma sana, na inatia mashaka kinoma. Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, na kwa bahati mbaya au kwa makusudi, mechi kubwa zaidi Tanzania imeahirishwa kwa sababu ambazo zinaonekana kama zimetengenezwa makusudi. Simba walikuwa na haki yao ya...
  2. B

    Hii mechi ya trh8 Timu zote ziliwekeza nje ya uwanja. Ndomana yametokea yalio tokea

    Tukitoa mahaba na mapenzi na ushabiki wa hizi Timu mbili Simba na yanga ukweli usemwe tu. Simba na yanga ni kurwa na doto ni Timu zinazo Juana nje ndani. Akuna kitu amewahi fanya Simba yanga ajafanya. Hakuna njia alyopita Simba yanga ajapita. Hiki kinachotokea Leo trh 8 hakuna jipya kwa...
  3. M

    Yanga hawabebwi, wana timu nzuri na ya ushindani ndani ya uwanja na wana mikakati ya maana sana nje ya uwanja

    Mpira ni mchezo wa wazi, jamaa wanavyocheza na aina ya wachezaji wao kusema kuwa wanabebwa sio ukweli Iła ni propaganda zinazoletwa na watu wetu ndani ya Simba kutuandaa kisaikolojia, hii vita ya ubingwa kwa watu wangu navowajua, nyie subirini mzunguko wa pili ławama zitakuwa kibao. Kunambia...
  4. G

    Yanga wanapangiwa matokeo nje ya uwanja, Timu hazikabi, Makocha hawaoneshi kuumia

    ligi yetu kuna upangaji wa matokeo, Wachezaji hawakabi, wachezaji wanajifunga, Makocha hawaoneshi kuumia. kocha wa Yanga asije akajidanganya kaisuka timu, Ni Bahasha ndizo zinatengeneza mtelemko, Kipimo cha ukweli ni mechi za kimataifa (MECHI 3 POINT 1) Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0...
  5. M

    Asante MO , Bingwa wa mikakati nje ya uwanja. Kesho Simba inampiga mtu goli za kutosha.

    Ushindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA. Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo kamati ya ufundi ilitumia furusa hiyo kuwafuata hukohuko kwao DRC, Mali, Burkina Faso...
  6. SAYVILLE

    Nani kawafundisha Botswana mambo ya nje ya uwanja mbona wanatisha hivi?

    Hawa Botswana wamekubuhu kwenye mbinu za nje ya uwanja, wanakufunga kwako kama umesinzia vile. Sijui wameimport product ya wapi inayowabeba kiasi hiki siku hizi. Jwaneng Galaxy alimpiga Wydad kwake, waarabu wakabaki wameduwaa wakawashutumu kwa kuroga. Leo Botswana imempiga Cape Verde huko huko...
  7. GENTAMYCINE

    Je, wana Simba SC Wenzangu mpaka hapa bado tu hatujajua Wasaliti wetu kwa Wachezaji na Uthibitisho kuwa Tunafungwa nao kwa mengi ya Nje ya Uwanja?

    NILIMWAMBIA CHAMA AONDOKE SIMBA SC "Baada ya ligi kuisha tu mimi ndo nilimwambia Chama aondoke kwenye timu ambayo yeye ndo anaibeba. Yaani wachezaji 10 anawabeba yeye mgongoni,nikamwambia aje huku ambako kuna wachezaji wazuri ambao hawatomchosha kama kule. Wewe angalia kikosi chetu kuna mtu...
  8. Frank Wanjiru

    Yusuph Kagoma apata jeraha litakalomweka nje ya uwanja

    Mchezaji mpya aliesajiliwa Simba kwa ajili ya msimu ujao, Yusuph Kagoma amepata majeraha ya mguu yatakayomweka nje ya uwanja kwa miezi kadhaa.
  9. Mwanadiplomasia Mahiri

    Mabomu ya machozi yanapigwa nje ya uwanja wa Taifa, mashabiki waliokata tiketi wamezuiwa kuingia

    Mliopo kwa Mkapa mtujuze, nasikia polisi wanafyatua mabomu ya machozi baada ya mashabiki wenye tiketi kuzuiwa kuingia uwanjani kisa uwanja umejaa. Mliopo uwanjani mtujuze ukweli upoje?
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Samatta ni mkubwa nje ya uwanja na kwenye vyombo vya Habari lakini ndani ya uwanja ni mdogo Sana

    Kwema wakuu! Mtanisamehe kwa wale wapenzi wa Mchezaji wa Mpira aitwaye Samatta. Lakini kiukweli tangu nimjue Samatta hasa akiwa ndani ya timu yetu ya taifa sijawahi kuona miujiza na ukubwa Wake. Ukisikia matangazo ya kwenye Luninga na Redioni kumhusu Samatta amejengwa kwa namna ya mtu fulani...
  11. Majok majok

    Nimeamini mpira wa kiafrika ni majanga huyu refa wa Medeama na Yanga kadhihirisha mipango ya nje ya uwanja

    Nilipata wasi wasi niliposikia kuwa wafanyabiashara wa mji wa Kumasi wameungana ili kuakikisha yanga atoki salama pale babayara stadium, na ilikuwa ni lazima yanga afie pale! Wasi wasi Wangu kumbe nilikuwa sahihi sana kwa kilichotokea uwanjani kwa refarii kumrudisha fadhira kwa waliomkarimu...
  12. JanguKamaJangu

    Beki wa Man United, Lisandro Martinez anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili au mitatu

    Lisandro Martinez anasumbuliwa na majeraha ya mfupa wa mguu ambayo yaliwahi kumweka nje ya uwanja muda mrefu, hivyo kuna uwezekano wa Manchester United kutomtumia kwa muda wa miezi miwili au mitatu ijayo. Aidha, beki mwingine wa timu hiyo, Sergio Reguilon naye imebainika ana majeraha hivyo...
  13. T

    Jana Huko Chigali (Rwanda) kulikuwa na burudani ndani na nje ya uwanja!

    Jana Wananchi aka Utopolo walipata burudani ya kutosha ndani na nje ya uwanja. Hongereni watani kwa ushindi. Mlistahili kwa kuwa mna timu nzuri.
  14. UtdProfile_

    Taarifa: Nkunku nje ya uwanja wiki 16 (miezi minne)

    🔴Leo: Chelsea imethibitisha kuwa Christopher Nkunku amefanyiwa upasuaji wa goti lake ambalo alilolipata huko Chicago. (Pre-seasons match), wakati timu hiyo ikijiandaa na Michuano ya Ligi Kuu (Premier League). 🔃Na imethibitishwa na Klabu atakuwa nje kwa wiki 16 Sawa na. Miezi Minne🤔🤔🤔.
  15. kavulata

    Simba kuhudhiria wengi Simba day ni njia nyingine ya kuishinda Yanga nje ya uwanja

    Ni jambo zuri sana sisi wapenzi wa Simba kwenda wengi kwenye tamasha letu la Simba day. Ukweli kuujaza uwanja kuliko Yanga walivyofanya ni njia nyingine sahihi ya kutibu sonona iliyotokana na timu yetu kufanya vibaya ndani ya uwanja dhidi ya Yanga kwa misimu 2 mfululizo. Kujaza huku kwa uwanja...
  16. SAYVILLE

    Je, mechi ya Simba na Yanga imeanza "kuchezwa"? Je hii picha inasema mbinu za nje ya uwanja zimeanza kutumika?

    Wajuvi wa siasa na harakati za nje ya uwanja inapokuja mechi ya Simba na Yanga embu tuelimishane. Wote tunakumbuka Clautus Chama alipotolewa katika mechi na Mbeya City alikwenda moja kwa moja vyumbani na baadae kurudi. Hii ikazua gumzo kubwa. Siku kadhaa baadae mchezaji wa Yanga anayevaa jezi...
  17. M

    Uto wataalamu wa kucheza nje ya uwanja: Ujanja wa hapa hapa, kimataifa majanga!

    Bahasha zilizoenda shule, kwa nini usishinde mfululizo?
  18. Kurunzi

    Hii ndiyo Sababu Yanga Kushinda nje ya Uwanja Kama Mashabiki wa Simba wanavyolalama

    ZIKISALIA saa kadhaa tu kabla ya kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kuikabili Simba katika mechi ya Ngao ya Jamii ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2022-2023, mastaa wa Yanga wameandaliwa msosi maalumu ili kuhakikisha wanatakata leo. Mbali na kuandaliwa msosi...
  19. May Day

    Bado sijaona kama kuna sababu za nje ya uwanja zinazosababisha Simba kukosa matokeo, tuache kukuza mambo

    Mimi huwa nafuatilia pia Mechi za Yanga, kiukweli sijaona tofauti kubwa sana ya kiuchezaji au kiupambanaji. Tofauti pekee ni kuwa Yanga wanafanya juu chini wapate walau Goli moja na kuhakikisha hawaruhusu goli...ukitoa ile mechi yao na Namungo ambapo ilibidi Refa ajiongeze lakini Wazee Wenzetu...
  20. Teko Modise

    Jeff Leah: Kwa udhaifu wa Mbao, Yanga atashinda goli nyingi maana Yanga hahitaji kuhonga nje ya uwanja

    Mchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation. Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao Fc ni dhaifu kwasasa. Aliongeza Jeff Jeff alienda mbali zaidi akasema "Kwa Yanga hii ambayo ndani...
Back
Top Bottom