Nawaza nje ya box...CCM ni ileile.
CCM ni waoga sana kutoka madarakani, inapokuja hoja inayotishia uwepo wao madarakani watafanya lolote hata ikibidi kudhulumu ili wabakie.
Wakati CUF inajipantia nguvu Zanzibar miaka ya 92 kwenda 95 walieneza habari nchi nzima kuwa CUF ni chama cha dini flani...