njia mbadala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Pamoja na kipigo chote hicho, jeshi la Marekani lasema halitaweza kuwazuia Houth kwa njia ya vita.laomba itafutwe njia mbadala kupambana nao.

    Tamko la aina hiyo limeshatolewa huko nyuma na makamanda wa jeshi la Marekani na ikaonekana kama ni utani.Kwa mara nyengine limetolewa na kamanda mkuu wa vikosi vya wanamaji wa Marekani eneo la mashariki ya kati,vice admiral George Wikoff. Katika hoja zake kamanda huyo amekumbusha kuwa vikosi...
  2. M

    Njia mbadala za kupunguza uzito

    Salaam. Wadau naomba msaada wenu wa njia mbadala wa kupunguza uzito , tunafanya Mazoezi lakini matokeo yake ni kidogo sana. Kama kuna Mdau mwenye ushauri mzuri kuhusu suala hili atusaidie au Kama kuna supplements salama za ku boost kupunguza uzito aweke bayana. Asante
  3. C

    SoC03 Njia mbadala zinazoweza kusaidia tatizo la upungufu wa walimu mashuleni

    NJIA MBADALA ZINAZOWEZA KUSAIDIA TATIZO LA UPUNGUFU WA WALIMU MASHULENI. UTANGULIZI: Nchi yetu bado inachangamoto kubwa ya uhaba wa walimu wa shule ya sekondari na msingi.Kwa mujibu wa taarifa ya mwezi wa pili ya wizara ya nchi ,Ofisi ya rais tawala za mikoa na serikali za mitaa...
  4. Lord denning

    Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

    Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa...
  5. Crucifix

    Magomeni Kota - TBA fungulieni njia mbadala wakati huu wa ujenzi wa barabara

    Ni hivi, barabara zote za kuelekea barabara ya Morogoro zina marundo ya vifusi. Geti pekee kwa wakazi wenye magari la kuingia Magomeni Kota ni lile lililo mkabala na Turiani Sekondari. Kwa maelekezo ya TBA na walinzi wake, geti hilo sharti lifungwe saa 6 usiku. Hawa ni watu na siyo mifugo wa...
  6. R

    Serikali itafute njia mbadala kushughulika na wahalifu wa 'Tuma kwenye namba hii', kwenda kuripoti polisi ni kupoteza muda

    Waziri Nape alitoa maelekezo watu kutoa taarifa polisi endapo watapokea jumbe za matapeli wanaokwambia tuma kwenye namba hii ama jumbe za waganga na kushinda jackpot ambapo kupata zawadi hiyo unaambiwa upige simu kwa maelekezo zaidi. Badala ya watu kwenda kutoa taarifa polisi, kuwe na njia ya...
  7. voicer

    Mpina Anastahili Ulinzi, ni Mwanasiasa mkweli mwenye uthubutu na njia mbadala

    Ilianzia hapa! [emoji116] Kisha ikafuatia hapa! [emoji116] Kisha sikiliza hoja ya Mpina! [emoji116] Kwa sababu,nchi hii watu wakweli ndio wanawindwa kuliko majambazi na Mafisadi! Ameamua kwa dhati,kujitwisha msalaba wa kuwatetea wanyonge dhidi ya kundi kubwa la Madhalimu nchini! Anaziona...
Back
Top Bottom