njia panda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimebaki njia panda, sijui huyu mchepuko ana plan gani!

    .
  2. Njia panda ya Rais Samia

    Ni dhahiri kuwa Uraisi sio kazi ndogo mara kadhaa Rais Samia amenukuliwa akiongea kwa upole na unyenyekevu(sijui kama unatoka moyoni) katika medani za kisiasa. Mara ya mwisho aliwaasa wateule wake kuchapa kazi na kuwa hatatumia nguvu kuwasukuma bali atatumia wino kuwanyoosha(akili). Katika...
  3. Nimekanyaga chungu kilichovunjwa njia panda, sina amani kabisa mpaka sasa

    Wakati natembea nikiwa sina hili wala lile nimejikuta nakanyaga haya mazaga katikati ya njia panda. Kwa kweli nimeghafilika sana! Na hii si mara ya kwanza. Naona mwamba aliambiwa aweke na chumvi ya mawe😅😅 kisha akaja kupasulia shida zake hapa.
  4. Nilichokikuta kwenye simu ya mpenzi wangu nimebaki njia panda, niendelee naye au nimuache?

    Kama heading hapo juu inavojieleza, nina mpenzi wangu na nimwaka watatu sasa tangu tulipoanzisha mahusiano. Yeye anasoma chuo cha Kati Mbeya diploma ya ualimu mwaka wa pili na Mimi Niko hapa UDOM mwaka wapili bachelor of science with Education. Walikua na rikizo ya mwezi hivi mmoja ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…