Kutokana na sheria za rushwa na ufisadi kuwawajibisha watu kwa matabaka ya vyeo na uwezo, nilikuwa napendekeza mambo yafuatayo;
1. Tuwe na sheria ambayo inawapa mamlaka TAKUKURU kuwajibika kwa kuwachukulia hatua za kisheria watumishi wote ambao watakuwa wanatajwa kwenye ripoti ya CAG kufanya...