njia za kulinda data zako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unatumia njia gani kulinda data/taarifa zako binafsi kwenye simu yako?

    Taarifa binafsi ni taarifa ambayo inaweza kukutambulisha wewe, mf. Picha, jina, kitambulisho, kadi ya benki, nk. Mfano, unaponda kujindikisha kwa mlinzi ili kuaingia kwenye ofisi fulani ukaacha jina lako, namba ya simu, pamoja na email, hizi ni taarifa zako binafsi, mtu zimefungamanishwa na wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…