Historia imeandikwa katika Masoko ya Mitaji Afrika Mashariki leo baada ya Hati fungani ya NMB Jamii kukusanya Tsh Bilioni 400 ikiwa ni zaidi ya mara tatu ya lengo lililokusudiwa ambapo ni Tsh Bilioni 212.9 kwa fungu la shilingi za kitanzania na dola za kimarekani milioni 73 kwa fungu la dola...