Habari naomba kuuliza au kupata msaada kutoka NMB kadi kutoka wilaya moja hadi nyingine inachukua muda gani kufika na mnazisafirisha kwa njia ipi?
Nime-renew kadi nikaambiwa niende baada ya siku 10 nimeenda kadi imetumwa wilaya nyingine ni j5 ya week iloisha nikaambiwa niijie ijumaa yani leo...