Nikiwa mkazi wa mwanza na mdau wa bank ya NMB sijaridhishwa na zoezi linaloendelea la kuboresha taarifa za wateja wa bank hii.
Tangu mwezi wa 7 bank ya NMB katika matawi yake ya Mwanza imekua ikiboresha taarifa za wateja wake ila zoezi ili limekua bovu na lisoloendana na kasi ya tenkolojia wala...