Kwa miaka mingi, Watanzania tumeendelea kushuhudia mfumo wa uchaguzi usio wa haki, usio na usawa, na usioakisi matakwa halisi ya wananchi. Tumeshuhudia jinsi mchakato wa uchaguzi unavyotawaliwa na sheria kandamizi, tume zisizo huru, na matumizi mabaya ya vyombo vya dola. Matokeo yake ni kupungua...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema "Msimamo wetu upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hatutashiriki uchaguzi"
Pia, Soma
John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki. Tutawashirikisha Viongozi wa dini, mashirika ya kimataifa, balozi na NGO's...
Kwa jinsi ninavyoiona hoja ya CHADEMA ya no reform no election haija kaa vizuri inalenga kukiua chama moja kwa moja.
Hoja ambayo ni practical na ingekuwa na mashiko ni kuelemisha wananchi wazuie wizi wa kura kwa namna yoyote ile. kuzuia uchaguzi ni kujindaganya ni bora CHADEMA washiriki lakini...
Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa, ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya No Reform, No Election, akisema kuwa si msimamo wa CHADEMA kususia uchaguzi bali kuzuia uchaguzi, na ni wananchi wenyewe ndio watakaoongoza zoezi...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Akizungumza siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.