The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.
Sera ya no reform no election inawaoeleka shimoni. Fanyeni vitu vyo lakini maneno hayo hayaeleweki hata nie wenyeqe chadema mnashindwa kuyafafanua vema. Yaondoeni kwenye sera zenu.
Wakuu
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey ameendelea kusisitiza kuwa Uchaguzi Mkuu uko pale pale
Tunafanya uchaguzi miaka yote sio kwasababu ya TAMKO au MATAMKO, bali kwasababu ni takwa la kikatiba lililotokana na VIKAO halali vilivyopewa nguvu ya Kisheria...
Uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa ungekuwa wa huru na haki leo hii swahiba wa Mama Samia Mbowe angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na kusingekuwepo leo No reform no election ambayo ni agenda kubwa ya nchi kwa sasa.
Kitendo cha Mama Samia kuanza kumkasirikia mkwe wake Mchengerwa tena baada ya...
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM ameibua mjadala mkali kuhusu hali ya CHADEMA, akidai kuwa chama hicho kimepoteza imani kwa...
Wakuu hii imekaaje kuwa Mahinyila amesema No reform no election ni mpango wa Lema na Lissu kuchota hela Diaspora na Bavicha watashiriki uchaguzi 2025. Je, ni kweli?
Kwa sasa tumefika pagumu wote tunajiuliza nini tatizo kwenye uchaguzi wetu. wapo wanaodai kuwa uchaguzi ulifanyika kwa haki na wapinzani kushinda miaka ya 2010 hadi 2015 kupitia sheria hizi hizi za uchaguzi tulizo nazo je kwa sasa kulikoni?
Je, mfumo umebadilika au kipindi hicho Rais...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla amesema kuelekea katika uchaguzi mkuu, CCM inaamini imeshafanya reforms za kutosha, hivyo amemshauri Tundu Lissu na wenzake pia wakafanye reforms zao.
Amesema wapinzani wanasema CCM ndiyo...
Hujawahi kuwa na Mamlaka hayo, Huna na wala hutokuja kuwa nayo.
Wewe endelea na porojo zinazohusu chama chako tu.
Tumeona tukukumbushe hili mapema kabla hujaendelea kupotosha zaidi.
No Reform No Election
Pia soma
Pre GE2025 - DSM - Amos Makalla: Lissu na wenzako (CHADEMA) nendeni mkafanye...
Suala hili limekua likikejeliwa na ccm bila kuja na hoja zenye mashiko.
Hoja zangu ni hizi:-
1. Kwa upande wangu mimi, nikiangalia kwa upande wa vyama vya upinzani nabaini kwamba ni kichaa peke yake ndio anaweza kushiriki uchaguzi wa October, 2025 akiwa anajua kwamba asilimia 85 ya wagombea...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Akizungumza siku ya...
Wakuu anayejua pigo la radi aje atuelezee linavyokuwa, ili tupate picha ya kitakachotokea hiyo October.
===
Mjumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Victor Makundi amesema ushindi wa chama hicho katika uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu utakua pigo la...
Kama una akili timamu na unawaza kwa kutumia kichwa na sio tumbo (maslahi binafsi) utagundua kuwa Nchi yetu imefika hatua mbaya sana.
Kiongozi yeyote anapojua kuwa sio kura za Wananchi zinazoniweka Madarakani kamwe hawezi kuogopa kuwaibia hao wananchi fedha zao (kodi zao)
Kiongozi yeyote...
Wakuu,
Lissu anaposema No Reforms No Election ndo huwa anamaanisha mambo haya.
Huyu baba alizunguka Kisesa yote kipindi hicho na bado akapata kura 0
Hii ni ishara tosha kuwa CUF inatakiwa kuungana na Lissu kwenye ajenda ya No Reforms No Election
Msikilize hapa:
Nawaona CCM na vibaraka wao wanapiga kelele sana kudai No Reform No Election haitafanikiwa kwa sababu vyovyote vile hakuna Watanzania watakaoweza kuwaunga mkono CHADEMA.
Kelele hizi zinapigwa ili kwanza kuwakebehi Chadema na kuendeleza Propaganda za kuwarubuni Watanzania ili waendelee kuwa...
Kwa mujibu wa Khalifa, hakuna dalili yoyote inayoashiria kuwa CHADEMA kweli kuzuia uchaguzi usifanyike, wala hakuna dalili za mageuzi yoyote kufanyika kabla ya uchaguzi.
Ameeleza kuwa njia pekee ambayo kauli mbiu hiyo inaweza kuwa na maana ni ikiwa itachukuliwa kama mzaha.
Khalifa anahoji kuwa...
Haina ubishi. Mfumo wa uchaguzi wa Tanzania upo kwa ajili ya kuhakikisha CCM inabaki madarakani. Hata Anthony Diallo aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza alishathibitisha. Nape ndio aliweka wazi kabisa.
Sasa kwa nini mabadiliko yasifanyike ili tupate Chama ambacho kitawakomboa...
Maswali ya hovyo ya Balile katika mkutano wa Chadema na wahariri wa vyombo vya habari yapelekea kuambiwa anauliza nonsense jambo ambalo limemkera sana na kuanza kutafuta kanuni za mkutano.
Balile ambaye ndiye alikuwa anaongoza mkutano huo alitumia muda mwingi kuvuruga mkutano badala ya...
Lissu amesema "Tutatembea nchi nzima kuwaambia Watanzania hamuwezi mkawa mnaenda kupiga Kura kwenye chaguzi za kutoana Kafara, tuungeni mkono kubadilisha taratibu za Uchaguzi"
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.