MHESHIMIWA RAIS MUNGU AKIKUPA NAFASI HUWA HAIJIRUDII MARA MBILI na KUMBUKA kwamba anataka wakati wote utumie uta wala wako kwa hekima.
1. Ipe ZANZIBAR UHURU KAMILI kwa kuandika KATIBA ambayo uliisimamia (Zanzibar una wajukuu zako, una makaburi ya ndugu zako, Mila na desturi zote zipo ZANZIBAR)...