Kwanza niwahase "tutafute hela" tuache kuuchochea umaskini, maake pasipo pesa, story za kahawa ndipo zinapoanzia! NoFap ni mchezo kama ilivyo michezo mingine kama Riadha, Mpira wa miguu ama mieleka! Sasa acha kusema "Ninafanya hivi ili kutokomeza tabia ya kupiga punyeto" Unafeli pakubwa...