nollywood

  1. Best Daddy

    Mind Bending Blowing Movies Special Thread

    Ulishawahi angalia filamu ukajikuta una question your reality? una-question everything? Yaani filamu imeilenga akili yako mtazamaji kama ni sehemu ya mchezo. Basi huo ni mfano wa Mind bending/blowing movie. kwa matumizi ya uzi huu: Mind bending films films ni aina ya filamu zenye lengo la...
  2. 2 of Amerikaz most wanted

    TANZIA Mwigizaji nguli wa Nollywood, Amaechi Muonagor afariki dunia kwa ugonjwa wa figo

    Muonagor alifariki jana baada ya kupambana na ugonjwa wa figo kwa muda mrefu. Hii ilikuja siku chache baada ya video iliyosambaa ambapo aliiomba msaada wa kifedha kutoka kwa wanaijeria ili kumwezesha kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya upandikizaji wa figo. Akithibitisha habari hizo za...
  3. JanguKamaJangu

    Watoto wa Staa wa Nollywood, Mr Ibu aliyefariki kufikishwa Mahakamani kwa Kula Hela za michango

    Ulimwengu wa Filamubza Nigeria 'Nollywood' umempoteza nyota wao wa filamu hasa za Vichekesho, John Okafor maarufu kwa jina la Mr Ibu (62) chanzo kikitajwa ni kupata Mshtuko wa Moyo ikiwa ni baada ya kuwa mgonjwa kwa muda mrefu. Mr Ibu aliyeigiza zaidi ya filamu 200 amefariki wakati alipokuwa...
Back
Top Bottom