Wengi wanaoteliwa na Rais, ndio mfumo tulionao. Hiki kitu siyo kibaya, tatizo linalotokea ni watu kufanya kazi kwa uoga na hofu. Anaamka asubuhi anakwenda ofisini hajui jioni kama atakuwa ana hiyo nafasi.
Unaweza ukakuta ameshatumbuliwa, ule uhakika wa kuwa kazini unapungua na unapopungua watu...