SERIKALI KUJENGA SHULE 56 ZA MICHEZO NCHI NZIMA, KILA MKOA KUPATA SHULE MBILI
Akijibu swali namba 559 la Mhe. Norah Waziri Mzeru, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro; Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ina mpango wa kujenga Shule 56 za Michezo...