note 9

  1. Samsung Note 9 Inauzwa

    Habari wakuu. Samsung note 9 ipo sokoni ila ina shida ya kioo kinahitaji kubadilishwa. Storage 128GB Ram 6GB Bado ipo kwenye clean condition ukiacha kioo tu. Bei ya kubadilisha kioo ni 170k Bei 90,000 0757 444 844.
  2. Nauza simu yangu | Samsung note 9 Gb 128 Pamoja na charge yake

    Only For Tsh.360,000 Problem ni mic pekee sometimes yes/sometimes no. Double line☑️ Only for serious buyer nicheki WhatsApp au piga 255673269533 Simu ipo Tabata Mwananchi
  3. Natafuta kioo used cha samsung note 9

    Habari wakuu Kama una kioo au unamjua mwenye nacho, nicheki kwa 0713 039 875
  4. Phone4Sale Simu aina ya Note 9 Samsung inauzwa

    Jipatie simu Samsung note 9 kwa bei ya kutupa laki 350,000 Storage GB 128 Ram gb 6 Haina cracks. Used but in good conditions Free charger Free cover Free protector
  5. Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  6. INAUZWA Water Pump,Printer,samsung Note 9, Bati Alaf na washing Machine

    Water pump Leo =300k Printer canon na Hp=200k Canon: inahitaji toner Hp: printhead imekufa Samsung note 9=400k Washing machine( von hotpoint 10kg) = 50k Washing machine: upande wa ku spin haufany kazi Bati alaf la kigae gage 28 zipo 15pcs= 800k Mazungumzo yapo..
  7. Msaada juu ya data network ya hii Galaxy note 9.

    Kwa kweli simu nilizoamini ni nzuri ni pamoja na Samsung lakini kwangu imekuwa tofauti, mwanzoni simu ilikuwa vizuri lakini sasa hivi natamani kurudi kwenye tecno na infinix, maana nikiwa safarini nawaona wenzangu wakivinjari kwenye mitandao ya kijamii mwanzo mwisho wa safari lakini hili la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…