Wakuu
Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari 2025 kama ilivyotangazwa wiki kadhaa zilizopita.
Soma: Tanzania yazindua Noti Mpya toleo la 2010 zenye Saini ya Waziri Mwigulu Nchemba na Gavana Emmanuel Tutuba
Noti ya elfu 5 (5,000/-)...
Naomba mtusaidie sababu na utaratibu unaotumika kuweka sahihi ya Waziri na Gavana katika noti za nchi.
Je, ni sheria inataka hivyo au maamuzi ya utawala uliopo madarakani?
Je, kuna gharama kwenye zoezi hilo?
Pia soma > Tanzania yazindua Noti Mpya toleo la 2010 zenye Saini ya Waziri Mwigulu...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia tarehe mosi Februari mwaka huu.
Gavana Tutuba amesema hayo wakati...
emmanuel tutuba
fedha
gavana wa benki kuu
kuanza
kutumika
mpya
mwigulu
mwigulu nchemba
notinotimpya
saini
tarehe
waziri
waziri wa fedha
wizara ya fedha na mipango
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.