Tanzania ni moja ya nchi chache zenye bahati ya kupata Rais mwanamke.
Dr Samia kukalia kiti cha Urais kumebadilisha mtazamo wa wa Africa wengi kuweza kuwaamini wanawake.
Tangu mama ameshika nchi uchumi umekuwa kwa kasi na mambo yanaenda. Je, hamuoni kuwa ni sahihi mama awekwe kwenye noti yetu...