Wakati huu wa sayansi na teknolojia, kazi zimerahisishwa sana.
Inashangaza kuona baadhi ya taasisi za serikali zinashindwa kwenda haraka katika utendaji kazi kiasi cha kuharibu ratiba za maendeleo ya wananchi pasipo sababu ya msingi.
Nacte wamepokea matokeo ya wahitimu wa NTA level 6, lakini...