January 30 ya kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya Magonjwa ya Kitropiki yasiyopewa Kipaumbele (Neglected Tropical Diseases) kama sehemu ya kuongeza ufahamu na jitihada za kuyatokomeza magonjwa haya.
Ni mjumuiko wa magonjwa 20 yanayoathiri zaidi ya watu bilioni 1 kwenye nchi za Kitropiki...