Ukiingia Wikipedia ya English version unaambiwa born January 1984..
Ukiingia Wikipedia Swahili version unaambiwa may 1987..
Sasa sijui tufuate lipi.... anyway hivi huyu jamaa Kwa sasa anakipiga wapi
Ni mwendelezo wa Yanga sc kusajili wachezaji waliotelekezwa. Mshambuliaji raia wa Burundi ,Saido ntibazonkiza amerudi tena Jangwani na kupewa kandarasi ya miaka miwili kuwatumikia wana mboga mboga katika msimu wa 2024/2025.
Uongozi wa Yanga unaamini katika kusajili wachezaji waliotelekezwa na...
Niko Wizarani nafuatilia kuhusu ukweli wa transformation ya Simba umekomea wap zaidi ya mwaka wa tatu sasa, nakutakana na Thank you ya Saido Ntibanzokiza.
Kwangu anabakia kuwa Shujaa ndani ya Simba, ni mchezaji ambaye ametoa mchango mkubwa sana ndani ya klabu yetu kuliko mchezaji yoyote yule...
Mbona hakuna mwendelezo? Je alibahatisha kama George Mpole? Je TFF walimtumia kumkomoa Mayele kama walivyofanya msimu wa mwaka juzi?
Nje ya mada
Mnaonaje Boss la DP World nikipewa timu ya Yanga niweke pesa.
Klabu ya Simba imefanikiwa kunasa saini ya Saido Ntibazonkiza, raia wa Burundi aliyekuwa anachezea timu ya Geita Gold.
Mchezaji huyu amesaini kandarasi ya mwaka mmoja na nusu kwenye klabu hiyo kubwa nchini inayopatikana mtaa wa Msimbazi.
Za ndaaani kabisaaaa, Saidoo Ntibazonkiza amemwaga saini ya miaka miwili kuwatumikia DTB ambayo ni timu mpya katika ligi kuu ya NBC.
Unaambiwa DTB wana mipango ya kutaka kupata nafasi za kushiriki michuano ya kimataifa. Hivyo wanapambana kuhakikisha wanachukua wachezaji wenye uzoefu na...
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga, zinasema klabu hiyo imefikia uamuzi wa kuachana na nyota wake, Saido Ntibazonkiza kufuatia makosa ya kinidhamu ya hivi karibuni na kile kimachodaiwa kuwa Saido aligomea kusaini mkataba mpya kuendelea kusalia klabuni hapo. https://t.co/4fEpD2zd8U
Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga SC Juma Mwambusi, amesema kwamba kitendo alichokifanya mchezaji wake Saido Ntibazonkiza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania VPL, dhidi ya Gwambina FC ni kutokana na furaha ya kufunga goli kwasababu hakufunga katika mechi mbili zilizopita.
"Ntibazonkiza alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.