Ntobi na jamaa yake Yericko Nyerere hatimaye wamebaki hadithi na maujinga yao ya kumtweza Lissu kabla ya Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA kumalizika.
Ninao uhakika kwa sasa nafsi zao zinapitia wakati mugumu mno huku wakiwaza na kuwazua isivyo kawaida.
Tujifunze kuwa na kiasi hasa lijapo suala lihusulo...
Bwana Twaha! Sikia
Mie, nilivuliwa uongozi wangu kwa maelekezo ya TAL Januari 9, 2025.
Nami, siku hiyo-hiyo ya Januari 9, 2025, niwasilisha rufaa yangu kwa KM tena kwa hati ya dharula chini ya Wakili wangu
johnmallya
Mpaka jana, Kamati Kuu imefanya vikao zaidi ya 4, lakini hawajasikiliza...
Baraza kuu la CHADEMA, kwa kauli moja, limekubaliana na maamuzi ya Kamati Kuu ya kuwaengua kina Twaha na genge lao kutogombea ujumbe wa kamati kuu kwa kupiga kura za wazi.
Demokrasia inazidi kushamiri ndani ya Chama chetu.
Je, kuna swali?
Anaandika Ntobi
Kama Intelejensia ya CCM isingeingilia Kati Halima Mdee ndiye angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na Lisu angeendelea na umakamu wake na uchaguzi ungefanyika 2024 siyo 2025
Mzee Mziray mkongwe wa Chadema anasema ndio sababu Mbowe alimshawishi Sana Halima Mdee aachie Ubunge wa shujaa Magufuli Ili aje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.