Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga, Ntobi, ameomba radhi kufuatia kauli zake alizotoa kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Ntobi ameeleza kuwa kauli hiyo ilisababisha mjadala mkali usio na afya ndani ya chama.
"Ni wazi kwamba nilihamanika tu," alisema Ntobi. "Naomba radhi sana...