Miaka milioni 65 iliyopita Kimondo kikubwa sana kiliipiga dunia. Wakati huo dinosaurs walikuwa wanaishi duniani.
Mgongano wa kimondo hicho na dunia ulisababisha mlipuko mkubwa uliorusha mawe na moto maelfu ya kilomita kila upande. Moshi, majivu, vumbi na mawe yalirushwa juu angani. Viumbe hai...