Miaka zaidi ya elfu 2 imepita sasa toka gharika iukumbe Ulimwengu..
Nuhu alitengeneza Safina, Chombo kilichobeba Viumbe hai, jinsia ke na me zaidi ya milioni saba
mpaka sasa hakuna Mwanadamu anayeweza kutengeneza Kifaa kama Safina ya Nuhu.. Hayupo!
Hakuna meli, boti wala jahazi lenye uwezo...
Mfalme Ogu anatajwa kwenye vitabu vya dini kuu tatu za mashariki ya kati yaani Uislam, Ukristo na Uyahudi.
NB: Nimezingatia dini zote tatu zinavyomzungumzia
Inaelezwa alikuwa ni mfalme aliyetawala eneo la Canaan (Palestina/Israel ama jordan ya sasa)katika ulimwengu wa kale takriban miaka zaidi...
Watu wamekuwa wakibishana kuhusu uhalisia wa hadithi hizi na jinsi zinavyolingana au kutofautiana na maarifa ya kisayansi na historia. Kwa mfano, wengine wanachukulia hadithi ya Adam na Hawa kama tafsiri ya kiroho zaidi kuliko kama historia halisi, huku wengine wakiiona kama ukweli wa...
Mwimbaji nyota wa FM Academia, Malu Stonch amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla jukwaani.
Hali hiyo imetokea katika ukumbi wa Target Mbezi, Beach, Jumamosi usiku wakati mwimbaji huyo akiwa jukwaani anaimba wimbo wa "Hadija".
Inaelezwa kuwa wakati anaimba wimbo huyo, Malu Stonch...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.