Habari za muda huu wana JF! Leo nazungumzia jinsi navyopitia mapito,
Kwanza nianze kwa kusema mimi mr future naamini uchawi upo kwa 100%
Ilianza kama utani kila jambo jema lilianguka katika mzunguko wa maisha yangu, nilipoona mambo hayaendi niliamua kutumia chumvi ambapo nilijifunza matumizi...