NUKUU za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye hafla ya kilele cha miaka 60 ya JWTZ, iliyofanyika Jijini Dar es salaam leo tarehe 31 Agosti, 2024.
Wadau hamjamboni nyote?
Nawaslisha hoja ya kizalendo kwa Wazalendo nikiomba mniunge mkono kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Niombe Wizara ya Elimu iandae mtaala mahsusi mashuleni kufundisha nukuu, mausia, maonyo, maono, maelekezo, maagizo na ushauri wa Rais Samia na Viongozi wajao
Niombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.