numbisa

  1. Maisha 2070: Una nini cha kuacha kama kumbu kumbu hapa JamiiForums

    Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "ChitChat". Ni tumaini langu wote ni wazima. Huu uzi yawezekana ukawa mrefu kuusoma, ila naamini kuna mtu utamsaidia sana endapo atausoma mpaka mwisho. Kuna vitu vingi vinatokea katika maisha tunavichukulia kawaida but Ushawahi kujiuliza...
  2. Naomba ushauri wa kozi

    Ndugu samahanini kwa usumbufu,.nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne,ufaulu wake ni Division III(24) (kiswahili, english, history, geography)-𝐂 (civics, biology, phyisics, chemistry)-D mathematics-F Kwa huu ufaulu je aaply coarse ipi yenye uhafadhari kwa hali ya sasa kwenye vyuo vya...
  3. Mpira (ndondo) ulifanya nikapotea Morogoro

    Habari za zenu Wana Jf Throw back Tuesday Ilikuwa mwezi wa 12 miaka mingi kidogo nyuma baada ya kwenda likizo Morogoro tulifikia kwa baba mdogo ambaye alikuwa anaishi maeneo ya tazara Siku moja majira Kama ya saa 8 au 9 baada ya kula msosi nikawa nimekaa kwenye kibaraza Cha mbele ya nyumba...
  4. SoC02 Thamani ya Elimu katika Ukombozi wa Jamii

    Elimu ni jumla ya maarifa aliyonayo mtu yanayomuwezesha kutatua changamoto za maisha yake ya kila siku. Elimu si ile tu inayopatikana shuleni na vyuoni bali ni maarifa yote yapatikanayo katika mazingira husika au mazingira yanayo tuzunguka. Elimu ni kitu muhimu sana katika mapinduzi ya kifikra...
  5. RISE UP (AMKA) sehemu ya kwanza-01

    RISE UP ( AMKAA) sehemu ya kwanza *********************************** *********************************** Niliendelea kukimbia huku nikianguka na kusimama maana nilikuwa najikwaa kwenye mawe yaliyoijaza hii njia ndogo, giza nene lililotanda juu ya uso wa nchi lilikuwa ni kikwazo kikubwa katika...
  6. C

    SoC01 ERGONOMICS: Watu wengi wanaumia kwa kukosa Elimu hii

    UTANGULIZI. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na changamoto kubwa ya watu wengi kupata maumivu ya viungo sehemu mbalimbali za mwili. Zipo sababu nyingi zinazosababisha watu kupata matatizo ya kumwa viungo vya mwili lakini sababu moja wapo ni ukosefu wa elimu ya Ergonomics.Kwa...
  7. Ni vipi kama haya maisha tunayoishi ni ndoto

    Asalaam wakuu, Kama binadamu nimekuwa najikuta nateseka sana kuishi kwenye hii dunia hasa kwenye jamii yangu ambayo inanifanya nipate huduma muhimu tu kama binadamu Kwa muda mrefu sijui imeanza lini lakini huwa nafikili ni vipi kama haya maisha yote ninayoishi ni ndoto Katika maisha yangu...
  8. Najua huenda ikawa ndio mara yako ya kwanza kujua/kusikia neno hili

    Kwema wana JamiiForums?!!! Nadhani karibia kila mmoja atakayesoma uzi huu tangu umezaliwa umekuta watu wakitumia neno CHIPS na umekuwa ukilitumia kwa kipindi chote cha maisha yako. Labda kama ulikuwa hufahamu basi tambua kuwa neno mbadala la Kiswahili ni VIBANZI. Hivyo basi kuanzia leo ukienda...
  9. Ujumbe kutoka kwa mpenzi wangu uliponikosesha utamu wa "jimama"

    Baada ya kufunga chuo Likizo ya Mwezi wa kumi na bee nikiwa Fas ya Kijenge juu Chugamaican nikaamua kutimba Tripple A FM kucheki izo mbishe na mbanga za field bablae,, Picha linaanza chaliako nimepiga suruali angu flani imeminywa kule danta ime tight kisolo na T-shirt flani oversize tunaitaga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…