Namba 9 katika numerolojia ni namba ya mwisho Kwa sababu Kila namba katika maarifa hayo Inaweza kupunguzwa na kuwa dijiti moja. Inawezekana pia baadhi ya wataalamu kupunguza namba kuu "master numbers" kuwa dijiti moja.
1 mpaka 9 ndiyo uwanda wa numerolojia na mwaka huu 2025 ni sawa na 2+0+2+5...