Asilimia kubwa ya Watanzania tumefurahi baada ya kuona Rais Samia Suluhu anasimamia haki kwa Watanzania wote amesema Uwepo wa amani nchini ni chachu ya maendeleo ya kijamii, kisiasa.
Mara nyinyi panatokea uvunjifu wa amani, ni kwamba haki imepotezwa, na haki ikipotezwa na amani inakuwa haipo...