Jopo la mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linatarajiwa kuendelea kuwahoji wabunge wa viti maalumu waliovuliwa uanachama wa chama hicho, huku kesho wakitarajiwa kumhoji Nusurati Hanje.
Mawakili hao wa Chadema wanaendelea kuwahoji baadhi ya wabunge hao kuhusiana na ushahidi...