( 1) Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, anaonekana kama Wizara ya Fedha ni mali yake na ni kama aliyemteua kapigwa upofu huyu mtu ni hatari sana katika kusimamia mambo ya fedha za nchi na Kuna viashiria vingi vya ufisadi tunahisi huenda Kuna Siri kubwa kati yake na aliyemteua...
Huwa nasema kila siku humu, usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!
Watanzania wangekuwa wanajielewa CCM ingeshang'olewa kitambo.
Ona Lissu kapata ulemavu sababu ya kutetea wapumbavu. Ona Msigwa leo yuko CCM, upumbvu mtupu!
Watanzania wanachoweza ni ngono, uchawi, majungu na umbea...
Kuitana "mama yangu", "baba yangu", "mdogo wangu", "kaka yangu", "dada yangu", "shangazi yangu", "shemeji yangu" na vyeo vingine kama hivyo katika shughuli za siasa na umma ni utamaduni mpya uliovuka mipaka, kushika kasi na sasa unaanza kukomaa.
Zamani vyeo vya kifamilia ambavyo nilikuwa...
Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu โHoneyโ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo.
Amesema hayo nje ya Bunge...
Katilka nafasi za DAS au RAS au DED au DC au RC na hata Ubunge wa Kuteuliwa na Mheshimiwa Rais aliyeko.
Na hili linaweza kufanyika ndani ya Miezi Sita au Kenda (Tisa) au hata Miezi Kumi na Mbili ijayo ili Kuwafariji na Kubebana.
Uzi wangu huu Utunzwe tafadhali.
Niende moja kwa moja, hii nchi kuna watu wamejilimbikizia vyeo na watu ni wale wale tangu 80's na 90's ndio wapo kwenye system.
1. Imagine mtu ni MBUNGE halafu ni WAZIRI
2. Imagine mtu ni MWENYEKITI WA BODI fulani halafu anapewa tena taasisi nyingine
Vijana waliozaliwa 90's sijui watapikwa...
Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia Maulid na Katibu mkuu Raymond Mangwala.
Wamevuliwa vyeo vyao kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za...
Nazidi kusikitika kuona utawala na mamlaka ya raia yanapokonywa. Wanasiasa kama unaona huna uwezo wa kuwaongoza hao militant bila kuwaingiza kwenye siasa basi waondoe kwanza jeshini wabaki civilian then ndiyo uwateue.
Kitendo cha karibia mkoa mzima wa Kigoma kuwapelekea wanajeshi kuwaongoza pia...