nyakati za shida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uhitaji wa Upendo na Msaada wa Mwenza Katika Nyakati za Shida

    Jana, katika harakati zangu za kila siku, nilikumbana na tukio ambalo limeacha hisia nzito moyoni mwangu. Nilipokea kikaratasi kutoka kwenye Gari la Magereza, kilichotupwa kwangu na mmoja wa wafungwa aliyeniomba msaada. Nilichukua hatua ya kutokudharau na nikakisoma kikaratasi hicho. Ujumbe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…