nyama choma

The nyama choma is a specialty of grilled goat meat, very popular in Kenya where it is considered the national dish.., also in Tanzania. The expression nyama choma mean « barbecue meat » in kiswahili.

View More On Wikipedia.org
  1. chizcom

    Mshikaki wa serikali vs nyama choma ya wananchi unavyo watofautisha kwenye mipango yao swala ubaya .

    Mshikaki unabeba viungo ambavyo vinafanya mda mfupi kuiva haraka. Kwa mtazamo unaona kabisa serikali inaweza kuwa mshikaki sababu ina viungo vyote. Ukija upande wa nyama choma kwa wananchi hawa watu mpaka kuwa nyama choma wamechukua mda mrefu kuwa nyama choma. Maswala mengi ambayo yanafanywa...
  2. K

    Mwanza: Uzinduzi wa Nyama Choma Festival kwenye Viwanja vya Nyamhongolo

    Mkuu wa Mkoa alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi huu. Sisi wananchi wa Jiji la Mwanza tumefurahia sana uzinduzi huu ila ninaomba tuletewe pia nyama pori katika festival hii ya nyama choma. === Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amezindua tamasha la Ilemela nyama choma litakalokuwa...
  3. Magical power

    Jana nilikuwa maeneo ya Black and White pale Moro Town. Kuna hii bar ina nyama choma nzuri sana

    Jana nilikuwa maeneo fulani pale black and white (Moro Town) hii bar ina nyama choma nzuri sana. Napenda kukaa konani sana Mara pah wakaja wadada wawili wakaka pale mezani, simu yangu ikaita kuna mtu alinipigia simu alikuwa na changamoto yake ila huwa sipendi kuongea na mtu mazingira yasiyo...
  4. S

    Anahitajika mpishi mzoefu wa kupika kwenye Mgahawa

    Mpishi mzoefu anahitajika, Kupika kwenye Mgahawa, mahali, Kivule Bomba mbili, Dar es salaam. 1. Ambaye atakuwepo masaa 24, 2. Ajisimamie mwenyewe. 3. Atafute mwenyewe, wafanyakazi atakaofanya nao. 4. Afanye aina zote za vyakula, vinywaji. Chips na aina zote za vyakula mchana, Asubuhi aina zote...
  5. Kifurukutu

    Business idea: kufungua nyama choma center

    Igweeeee Nimekaa nimewaza na kuwazua nifingue biashara gani ili maisha yasonge mbele hapa jijini Wazo pekee ambalo naona linaweza kuwa tofauti kidogo na zile biashara za kuigana mwishowe kuanza kurogana ni kuanzisha NYAMA CENTER NYAMA CENTER itakuwa inauza nyama za aina mbalimbali kama vile...
  6. Bushmamy

    Pre GE2025 RC Makonda aandaa hafla ya Wakuu wa Taasisi za Umma na Wafanyabiashara Arusha

    Arusha leo katika hafla ya kufahamiana kwa sekta binafafsi. --- Maandalizi ya hafla fupi iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Christian Makonda kwa ajili ya kuwakutanisha Wakuu wa Taasisi na Mashirika yote ya Umma nchini Tanzania na wawekezaji na wafanyabiashara wa Mkoa wa Arusha. Wakuu hao...
  7. Mcheza Piano

    Hivi Peponi kutakuwa na Nyama Choma?

    Miongoni mwa mambo ninayo yangoja kwa hamu ni kuingia mojakwamoja peponi. Naomba kuuliza wataalamu wa maandiko endapo peponi kuna nyama choma yenye pilipili kwambaali na limao. Imeandikwa tutakula vinono, naomba kujua kama kuna mwenye menu tafadhali. Lamomy wewe paradiso isahau, kwasababu...
  8. Erythrocyte

    Mbarali: CHADEMA Digital yaambatana na nyama choma

    Katika oparesheni kabambe inayoendelea ya kutokomeza CCM Mbarali , kikundi cha Diaspora kikiongozwa na TL Marandu kimenunua Zizi la Mbuzi kwa ajili ya nyama choma ya Watenda kazi hiyo ya kuteketeza ccm , kazi inayoongozwa kikamilifu na Liberatus Mwang'ombe. Wakati CCM wakilogana kugombea nafasi...
  9. coockie monster

    Sehemu Gani nzuri Morogoro ya kula supu, bia na nyama choma

    Wazee kibunda kipo na nishafika Moro,ntalala hapa Ili kesho mchana niondoke kuja dar sasa nawaza hiki kibunda changu nikitumie wapi? Nipo na girlfriend wangu.
  10. Equation x

    Ni sahihi kwenda kula nyama choma, huku familia ikishindia mboga za majani?

    Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana. Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako...
  11. A

    SoC02 Jinsi walaji wa kitimoto walivyo hatarini kupata magonjwa

    Walaji wa nyama ya nguruwe nchini wako hatarini kupata magonjwa mbalimbali kikiwamo kifafa kutokana na maandalizi duni ya kitoweo hicho maeneo ya baa na nyama hiyo kutokaguliwa na wataalamu. Pia, kukosekana kwa machinjio za nguruwe za kutosha ni changamoto nyingine inayosababisha watu kuchinja...
  12. Shark

    Manispaa ya Kigamboni mnaonaje mkaanzisha mnada wa Mbuzi/ Nyama Choma hata Kila Jumamosi

    Wakati serikali ikiwa haina akili tena ya kupata vyanzo vya mapato na kuishia kwenye kuweka Tozo mpk za Ndoa, ni wakati mwafaka sasa Manispaa kupitia think tank wao wakabuni vyanzo ambavyo havimuumizi mwananchi. Serikali ilipochukua vyanzo vyote vya Manispaa walibuni uwepo wa Stendi za magari...
  13. mwanamwana

    Kamusi ya Kiingereza ya Oxford (OED) yaongeza maneno 200 ya Afrika Mashariki

    Kamusi ya Kiingereza ya Oxford (OED) ambayo ni kamusi kubwa zaidi ya lugha ya Kiingereza imeongeza maingizo 200 mapya na yaliyosahihishwa kutoka Kiingereza cha Afrika Mashariki, ambayo kimsingi yanatumiwa nchini Kenya, Tanzania, na Uganda. Katika taarifa yake, OED ilisema kuwa lugha ya...
  14. emmarki

    Marination nzuri kwa nyama choma mbuzi, ng'ombe au kuku

    Kwenu wataalamu wa kuchoma nyama za aina zote. Naomba tips za kibabe kuhusu namna ya kumarinate nyama kabla ya kuichoma na baada. Viungo gani vitumike, kiasi gani, balancing ya moto haswa kwenye jiko la mkaa iweje.
  15. chlorine gas

    Wale tuliowahi kula mbuzi nyama choma Melela tujuane

    Habari wakuu, I hope mpoo good na mapumziko ya wiki leo ni Jumamosi kwetu tumeamka na mvua ya upepo fulani hivi. Anyway twende kwenye mada husika hapo juu, moja ya moment nzuri ninazo zikumbuka nikiwa kwenye harakati za kujenga taifa hasa nikiwa na route ya Iringa road kuelekea Mikumi basi ni...
  16. Equation x

    Mobile nyama choma

    Maisha ya hapa duniani ni kupambana ili kuweza kumudu mahitaji yako ya kila siku. Na ili ufanikiwe inabidi kuweka aibu chini na kupambana kwa juhudi na maarifa ili kuweza kutimiza ndoto zako. Kuna hii biashara ya nyama choma, ambayo ukiifanya vizuri inaweza ikakutoa sehemu moja kwenda nyingine...
  17. safaris56

    Ugali Nyama Choma(T-Bone Steak)

    Leo nachukuwa fursa hii kuwa karibisha wadau na wapenzi wa UGALI na NYAM CHOMA (T-BONE STEAK) katika mgaha wetu pale NAMANGA,MSASANI, dakika 1 kutoka kituo cha Namanga. Ugali : 500 Nyama : 3000 Tsh3,500 Delivery: ugali:500 Nyama :3,500 Tsh4,000 Delivery Fee: Kuanzia...
  18. EINSTEIN112

    Leo Jumapili tarehe 13.06.2021 karibuni Mnadani Kibamba Chama

    Wakuu tukutane Kibamba chama kuna mnada wa nyama ya Mbuzi na Kondoo [emoji238][emoji231][emoji207][emoji238][emoji238] Ntawapa Updates. Tokeni na Familia zenu[emoji1285][emoji1293][emoji2026][emoji2025][emoji2022][emoji2034] financial services haya toka na mdau wako Mshana Jr achana na...
Back
Top Bottom