nyama ya idd

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. covid 19

    Kuna masheikh wengine wananongwa sana eti sheikh wetu amenitoa kwenye group la whatsapp la kugawa nyama siku ya Eid

    Sasa najiuliza kosa langu ni nini yani group nipo na ni mchangiaji mzuri tu wa mada mbalimbali ila aliona sijui namzidi umaarufu leo nimefika sehemu yenye wi-fi nataka kuuliza kama nyama imeshaanza kuja msikitini nakutana na sms ya admin removed you sasa kwanini asingenitoa toka muda yaani...
Back
Top Bottom