Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo wa Zanzibar, Shamata Shaame Khamis, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, wadau wa maendeleo, sekta binafsi, na wawekezaji ili kuleta mageuzi ya haraka katika tasnia hiyo ikiwa ni pamoja na kuanzisha programu za pamoja za utafiki...