Siku ya leo Oktoba 23 2024 Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umeomba radhi kwa watumiaji wa kivuko cha MV Kilindoni kinachotoa huduma kati ya Mafia na Nyamisati kutokana na hitilafu kwenye mfumo wake, ambayo imesababisha kusitishwa kwa huduma.
Soma pia:
TEMESA tunaomba mlizingatie...
Habari wanabodi,
Leo nimefika hapa Nyamisati mida asubuhi nimeambiwa tiketi nimeshakosa napaswa nisubiri hadi Jumatano au Alhamisi ndipo meli itatoka tena kuelekea Mafia.
Hiyo bado haitoshi kuna watu ambao wamebahatika kukata tiketi leo wao wameniambia wana siku ya nne tokea wafike hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.