Habari wanabodi,
Leo nimefika hapa Nyamisati mida asubuhi nimeambiwa tiketi nimeshakosa napaswa nisubiri hadi Jumatano au Alhamisi ndipo meli itatoka tena kuelekea Mafia.
Hiyo bado haitoshi kuna watu ambao wamebahatika kukata tiketi leo wao wameniambia wana siku ya nne tokea wafike hapa...