nyamuti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Kigoma: Shule ya msingi Nyamuti wilayani Buhigwe haijakamilika tangu 2006 hadi leo

    Mimi kama mdau wa maendeleo kwa ujumla, naleta kwenu kero ya muda mrefu. Yapata miaka 20 sasa. Tangu shule ya msingi Nyamuti iliyoko walaya ya Buhigwe kata ya Buhigwe kijiji cha Mlela mtaa wa Nyamuti, imegawanywa kutoka shule mama iitwayo shule ya msingi Mlela, hadi leo haijawahi kamilika Wito...
Back
Top Bottom