Hatimaye CHADEMA imeamua kukata mzizi wa fitina kwa kuanika hadharani kila neno lililomo kwenye Nyaraka za Maridhiano yaliyovunjika baada ya CCM kuweka mpira Kwapani.
Kauli hiyo Thabiti imetolewa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho John Heche, aliyekuwa pia Mjumbe wa Timu ya Chadema ya...