Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anashtakiwa kwa makosa ya kumiliki nyaraka za siri za Serikalii zikiwemo za nyuklia na zinazohusu mipango ya kijeshi ya Taifa lake.
Imeelezwa katika mashtaka 37 yanayomkabili ya kuficha nyaraka hizo katika mjengo wake uliopo Florida, baadhi ya nyaraka...